Uwanja wa michezo wa Zuwara
Uwanja wa michezo wa Zuwara ni uwanja wa michezo mbalimbali huko Zuwara nchini Libya. Kwa sasa hutumiwa kwa soka Uwanja huo una uwezo wakuchukua takribani watu 2,000.[1]
Viungo vya nje
hariri- http://www.worldstadiums.com/africa/countries/libya.shtml Ilihifadhiwa 25 Juni 2017 kwenye Wayback Machine. Stadium information
Marejeo
hariri- ↑ "Stadium information". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-06-25. Iliwekwa mnamo 2021-06-10.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Zuwara kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |