Uwanja wa michezo wa manispaa ya Avrankou
Uwanja wa michezo wa manispaa ya Avrankou ni uwanja wenye matumizi mengi unayopatikana huko Avrankou, nchiniBenin. Kwa sasa unatumika mara nyingi kwa michezo ya soka na ndio uwanja wa nyumbani kwa klabu ya Avrankou Omnisport FC. Uwanja huu una uwezo wa kubeba washabiki 5,000.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "Stadiums in Benin". worldstadiums.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-01-08. Iliwekwa mnamo 2010-09-27.
{{cite web}}
: More than one of|archivedate=
na|archive-date=
specified (help); More than one of|archiveurl=
na|archive-url=
specified (help)
Viungo vya nje
hariri- Maelezo ya uwanja Ilihifadhiwa 8 Januari 2012 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa manispaa ya Avrankou kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |