Uwanja wa michezo wa manispaa ya Mombasa

Uwanja wa michezo wa manispaa ya Mombasa ni uwanja unaotumika kwa shughuli mbalimbali za kimichezo huko Mombasa nchini Kenya, lakini hutumika sana sana katika mchezo wa mpira wa miguu.

Uwanja huo una uwezo wa kustahimili watu takribani 10,000(Elfu kumi).[1][2][3][4]

Marejeo

hariri
  1. "Mombasa Municipal Stadium - Soccerway". int.soccerway.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-04-20.
  2. "Mombasa Municipal Stadium a disgrace to Coastal football". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-04. Iliwekwa mnamo 2021-06-08.
  3. [http://web.archive.org/20160304114432/http://en.starafrica.com/football/kenya-sports-minister-stops-renovation-work-at-mombasa-municipal-stadium.html Archived 4 Machi 2016 at the Wayback Machine.
  4. [https://web.archive.org/web/20160304114432/http://en.starafrica.com/football/kenya-sports-minister-stops-renovation-work-at-mombasa-municipal-stadium.html |date=2016-03-04 }}
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa manispaa ya Mombasa kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.