Vârful Moldoveanu

Vârful Moldoveanu ni mlima wa Karpati (Ulaya), katika nchi ya Romania.

Urefu wake ni mita 2,544 juu ya usawa wa bahari. Hivyo unazidi milima yote ya Romania.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Vârful Moldoveanu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.