Kiluwiluwi (ndege)

(Elekezwa kutoka Vanellus)
Kiluwiluwi
Kiluwiluwi fundichuma
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Charadriiformes (Ndege kama vitwitwi)
Familia: Charadriidae (Ndege walio na mnasaba na vitwitwi)
Jenasi: Anarhynchus Quoy & Gaimard, 1830

Erythrogonys Gould, 1838
Peltohyas Sharpe, 1896
Vanellus Brisson, 1760

Spishi: Angalia katiba
Kwa maana mengine tazama Kiluwiluwi

Viluwiluwi ni ndege wa familia ndogo Vanellinae katika familia Charadriidae. Spishi hizi ni kubwa kuliko zile za familia ndoga ya Charadriinae. Huonekana mara kwa mara kando ya maji, lakini spishi nyingi huonekana pia mbali na maji hata kwa maeneo makavu. Hutaga mayai yao chini na hula wadudu hasa.

Spishi za Afrika

hariri

Spishi za mabara mengine

hariri