Variable (kompyuta programming)

Variable (kompyuta programming) ni mahali katika RAM penye anwani panapo idadi kadhaa (inayojulikana au isiyojulikana) ya habari iitwayo value.

Variables za kompyuta programming hazilazimiki kuwa variables za mhisabati. Value ya variable ya kompyuta hailazimiki kuwa sehemu ya mlinganyo au fomyula kama katika mhisabati. Kwa mfano katika mkokotoo variable inaweza kushiriki harakati irudiyo yaani kupata value katika mahali pamoja ya programu na halafu kutumiwa katika pengine na baadaye kupata value mpya na kutumiwa mara tena kwa njia hiyohiyo au nyingine. Kuandikisha valuable katika variable kunaitwa assignment. Huo ni aina ya statement.

Variables za kompyuta programming hupewa majina marefu yaelezayo wajibu yao maadam variables za mhisabati huwekwa alama ya herufi kwa kufupisha. Mahali pa kumbukumbu palipowekwa alama na variable inaweza kuonyeshwa na identifiers mbalimbali chache sambamba. Kwa manzili hayo mabadiliko ya value kwa identifier moja itasababisha mabadiliko ya value yanayowezekana kupatwa kwa identifier vingine.

Kulingana na type system ya lugha ya kompyuta programming variable inaweza kuwa na uwezo wa pekee kuhifadhi aina ya data ya pekee tu (kwa mfano nabma kamili au string). Ama aina ya data katika lugha ya kompyuta programming inaweza kuwa aridhio ya value maadam variable inaweza kuhifadhi values zo zote.

ScopeEdit

Ni eneo la programu ambalo ndani yake identifier ya variable kadhaa inaendelea kuungwa na variable hiyo na kurudi value yake. Nje ya scope hiyo identifier ileile inaweza kuungwa na variable nyingine au kuwa huru (kutoungwa na variable yoyote). Katika wingi wa lugha za kompyuta programming scope inatungamana na mahali pa kutokea kwa variable. Mbali na hayo scope inaweza kuainiwa dhahiri.

Aina za variables kulingana na scopeEdit

Katika lugha zinazokubalia structured programming variables hugawanyiwa aina mbili:

  • local variables zinazotokea ndani ya function na kutopatikana nje yake;
  • global variables zinazotokea nje ya functions zote na zinapatikana kwa pote.

Katika lugha zinazokubalia uainishaji wa programu kwa moduli inawezekana kutokea kwa variables zilizo za mahali maalum kuhusu moduli.

Katika object-oriented programming huainiwa mara nyingi scopes tatu:

  • Private. Variable inaweza kutumiwa katika instance ya class hii tu.
  • Public. Variable inaweza kutumiwa kutoka kwa pahali pote.
  • Protected. Variable inaweza kutumiwa katika instance ya class hii au ya subclass yake (tazama inheritance).