Velikiy Novgorod
Velikiy Novgorod (Kirusi: Великий Новгород) ni mji wa Urusi. Ina wakazi 221.954. Iko katika mkoa wa Novgorod Oblast.
Historia hariri
Katika Zama za Kati, jiji hilo lilikuwa mji mkuu wa Jamhuri ya Novgorod.
Tazama pia hariri
Makala hii kuhusu maeneo ya Urusi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Velikiy Novgorod kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |