Vellinge
Vellinge ni manispaa na pia mji nchini Uswidi. Iko kusini ya Malmö katika mkoa wa Skåne. Kuna wakazi 6,115 (mwaka 2005).
JiografiaEdit
Eneo lake ni 3.06 km².
Viungo vya njeEdit
Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Vellinge kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |