Ventriko
Ventriko ni chumba kikubwa cha moyo ambacho hufanya kazi ya kupokea damu kwenye auriko na kuipeleka kwenye mishipa ambayo hufanya kazi ya kuipeleka damu kwenye sehemu za mwili hadi kwenye mapafu.
Pia ventriko imegawanyika katika sehemu mbili ambazo ni: ventriko ya kulia na ventriko ya kushoto. Ventriko ya kulia ina ukuta mkubwa kuliko ya kushoto kwani huzuia damu kwa nguvu kubwa kuliko ya kushoto, kwani ya kushoto yenyewe haifanyi kazi ya kuzuia bali huelekeza damu kwenye ateri ya mapafu.
Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ventriko kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |