Veronica Vallejos
Veronica Vallejos-Marchant (alizaliwa mnamo mwaka 1967) ni Kiongozi wa Idara ya Miradi na Mazingira katika Taasisi ya Antaktiki ya nchini Chile (INACH)[1][2] na ni mwanachama wa Kamati ya Ulinzi wa Mazingira (CEP).[3] Anachukuliwa kama mtu wa kwanza kuwa mstari wa mbele kwa wanawake wa nchini Chile katika utafiti wa Antaktiki.[2]
Maisha na Elimu
haririVallejos-Marchant alizaliwa na kukulia Santiago, nchini Chile[2] na alipokea shahada yake ya Biolojia ya Bahari kutoka Chuo Kikuu cha Valparaiso kisha akajiendeleza na Shahada ya Uzamili katika Uhifadhi wa Maliasili.[4]
Kazi
haririVallejos-Marchant ni Kiongozi wa Idara ya Miradi na Mazingira katika Taasisi ya Antaktiki ya nchini Chile (INACH)[1] na ni mwanachama wa Kamati ya Ulinzi wa Mazingira (CEP).[3] Alienda Antaktiki kwa mara ya kwanza mwaka 1995[5] na alirudi tena mara ya 10 tena.[2] Anafanya kazi kuunga mkono watafiti wa Antaktiki wa nchini Chile katika ushirikiano wa kimataifa.[2][6]
Marejeo
hariri- ↑ 1.0 1.1 "Departamento de Concursos y Medioambiente - INACH". www.inach.cl. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-11-22. Iliwekwa mnamo 2016-07-16.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help) - ↑ 2.0 2.1 2.2 2.3 2.4 "18 December 2006 Special interview with Veronica Vallejos | PolarTREC". www.polartrec.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-09-15. Iliwekwa mnamo 2016-07-16.
{{cite web}}
: Unknown parameter|dead-url=
ignored (|url-status=
suggested) (help) - ↑ 3.0 3.1 "CEP Authorities and Members". www.ats.aq. Iliwekwa mnamo 2016-07-16.
- ↑ "Verónica Vallejos, Jefa del Dpto. Científico del INACH en Concurso Mujer Terra 2007. Pueden votar hasta el 30 de agosto". www.radiomagallanes.cl. Iliwekwa mnamo 2016-07-16.
- ↑ "Yo sigo enamorada de la Antarctica" (PDF). 22 Februari 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ [https://prensaantartica.com/2013/04/16/experta-medioambiental-australiana-recor
rio-la-isla-rey-jorge-en-la-antartica/ "Experta medioambiental australiana recorrió la isla Rey Jorge en la Antártica"]. Prensa Antártica. 2013-04-16. Iliwekwa mnamo 2016-07-16.
{{cite web}}
: Check|url=
value (help); line feed character in|url=
at position 80 (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Veronica Vallejos kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |