Veruli, Sekundini, Sirisi, Felisi, Servuli, Saturnini na Fortunati

Veruli, Sekundini, Sirisi, Felisi, Servuli, Saturnini na Fortunati na wenzao kumi na tisa (walifariki Susa, katika Tunisia ya leo, 434 hivi) ni kati ya Wakristo wa Afrika Kaskazini waliouawa na Wavandali Waario kwa ajili ya imani yao ya Kikatoliki.

Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yao, hawaorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 21 Februari[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.