Vicensia Shule (alizaliwa 14 Machi 1978) ni mhadhiri katika kitivo cha Sanaa ya Ubunifu katika chuo kikuu cha Dar es Salaam[1] pia ni mbunifu wa kutumia vitu ambavyo vilishatumika mara ya kwanza, msomi wa ngazi ya juu, mwanaharakati wa haki na jinsia na mwandaaji wa filamu.[2]

Vicensia Shule
AmezaliwaVicensia Shule
Kazi yakeMhadhiri katika kitivo cha Sanaa ya Ubunifu katika chuo kikuu cha Dar es Salaam
  • 2002-2004: Shahada ya kwanza katika chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)
  • 2002: Tuzo ya mwanafunzi bora katika mitihani ya mwisho ya shahada ya kwanza katika Kitivo cha Sanaa katika UDSM.
  • 2002-2004: Shahada ya udaktari katika Fani ya Sanaa ya Maonyesho kutoka chuo kikuu cha Johannes Gutenberg Universität Mainz, Ujerumani

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vicensia Shule kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.