Viktor Mihály Orbán (amezaliwa 31 Mei 1963) ni mwanasiasa wa Hungaria ambaye amekuwa Waziri Mkuu wa Hungaria tangu mwaka 2010; alikuwa Waziri Mkuu pia tangu 1998 hadi 2002.

Aliwahi kuwa Rais wa Fidesz, chama cha kitaifa cha kihafidhina, tangu mwaka 1993, na mapumziko mafupi kati ya 2000 na 2003.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Viktor Orbán kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.