Vincent Kiplangat Kosgei
Vincent Kiplangat Kosgei ni mwanariadha wa Kenya. [1] Katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto ya mwaka 2012, alishindana katika mbio za mita 400 za kuruka viunzi za wanaume.
Marejeo
hariri- ↑ "Vincent Kiplangat Kosgei". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-09-02. Iliwekwa mnamo 2024-11-04.
Makala hii kuhusu Mwanariadha wa Kenya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Vincent Kiplangat Kosgei kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |