Vindisiani

Askofu wa Cambrai-Arras

Vindisiani (kwa Kifaransa: Vindicien; Bullecourt, leo nchini Ufaransa, 632 hivi – 712) alikuwa askofu wa pili wa Cambrai-Arras kuanzia mwaka 668[1] hadi kifo chake[2][3].

Alimtaka mfalme Teodoriko III afanye toba kwa kosa la kumuua Leodegari.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Machi[4].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.