Vinsenti Romano (Torre del Greco, Campania, Italia, 3 Juni 1751Torre del Greco, 20 Desemba 1831), alikuwa padri mwanajimbo wa Kanisa Katoliki aliyefanya uchungaji kama paroko, akiwajibika sana katika malezi ya watoto na huduma kwa wafanyakazi na wavuvi[1].

Mt. Vinsenti Romano.

Papa Paulo VI alimtangaza mwenye heri tarehe 17 Novemba 1963, halafu tarehe 14 Oktoba 2018 Papa Fransisko alimtangaza mtakatifu .

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.