Virgin Records ni studio ya kurekodia muziki kutoka Uingereza. Studio ilianzishwa na makabaila wa Kiingereza, Richard Branson, Simon Draper, na Nik Powell kunako mwaka wa 1972. Studio baadaye iliuzwa kwa kampuni ya Thorn EMI, na kisha baadaye, wakiwa Marekani, iliungana na studio ya Capitol Records kunako mwaka wa 2006 kwa lengo la kuanzisha studio ya Capitol Music Group.[1]

Virgin Records
Virginlogo.jpg
Shina la studio EMI
Imeanzishwa 1972
Mwanzilishi Richard Branson
Usambazaji wa studio Capitol Music Group (katika Marekani)
EMI Music Distribution
Aina za muziki Mbalimbali
Nchi Uingereza
Tovuti Tovuti Rasmi ya Virgin Records

Marejeo

hariri
  1. Lott, Tim. "The day my music died", The Guardian, 26 Machi 2004. Retrieved on 2007-09-17. (English) 

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Virgin Records kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.