Virodene ilidaiwa kuwa dawa ya VVU / UKIMWI. Ilitengenezwa nchini Afrika Kusini, lakini ilikataliwa na jamii ya wanasayansi. Hata hivyo mwaka 2000 ilifanyiwa majaribio katika hospitali za jeshi la Tanzania[1].

Marejeo

hariri
  • South African Research Into AIDS "Cure" Severely Criticised, P.Sidley, National Library of Medicine, 1997
  1. Mark, Schoofs (2001-07-19). "Tanzanian Military Helped Company Skirt Drug Regulations to Test Virodene". Wall Street Journal. Archived from the original on 2006-03-01. Retrieved 2007-09-27.
  Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Virodene kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.