Visakhapatnam ni jiji la jimbo la Andhra Pradesh nchini Uhindi lenye wakazi milioni 1.7 (2011). Ni mji mkubwa wa kumi na saba nchini Uhindi.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Visakhapatnam kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.