Visiwa vya Ssese
(Elekezwa kutoka Visiwa vya Sese)
Visiwa vya Ssese ni kati ya visiwa vya Uganda kusini (Mkoa wa Kati).
Funguvisiwa hilo lina visiwa 84 ambavyo vyote pamoja vinaunda Wilaya ya Kalangala, ambayo haienei barani.
Linapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Visiwa vya Ssese kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |