Visiwa vya Turks na Caicos

Visiwa vya Turks na Caicos ni funguvisiwa katika Karibi ambazo ni maeneo ya ng'ambo ya Uingereza. Viko karibu na Bahamas. Uvuwi ni msingi wa uchumi.

Turks and Caicos Islands
Visiwa vya Turks na Caicos
Bendera ya Visiwa vya Turks na Caicos [[Picha:|110px|Nembo ya Visiwa vya Turks na Caicos]]
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: One people, one nation, one destiny
Wimbo wa taifa: "God Save the Queen"
Lokeshen ya Visiwa vya Turks na Caicos
Mji mkuu Cockburn Town
{{{latd}}}°{{{latm}}}′ {{{latNS}}} {{{longd}}}°{{{longm}}}′ {{{longEW}}}
Mji mkubwa nchini
Lugha rasmi Kiingereza
Serikali Eneo la ng'ambo la Uingereza
Elizabeth II wa Uingereza
Richard Tauwhare
Michael Misick
'
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
417 km² (ya 199)
Idadi ya watu
 - 2006 kadirio
 - Msongamano wa watu
 
32,000 (ya 156)
61/km² ()
Fedha U.S. dollar (USD)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
UTC-5 (UTC)
(UTC)
Intaneti TLD .tc
Kodi ya simu +1-649

-


Ramani ya Turks na Caicos

Visiwa vya Turks & CaicosEdit

Grand TurkEdit

Hiki ni kisiwa kikuu penye uwanja wa ndege na ofisi za serikali.

ProvidencialesEdit

Ni kisiwea cha utalii.

West CayEdit

Kisiwa kidogo

  Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Visiwa vya Turks na Caicos kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.