Vita vya Waosmani Afrika

Vita vya Waosmani Afrika vilipigwa barani Afrika na Dola la Waosmani lililoanzishwa mwanzoni mwa karne ya 14.

Kuanzia karne ya 16, lilianza kupata mali kufuatia mfululizo wa vita katika pwani ya Afrika Kaskazini.[1]

Marejeo hariri

  1. "The Ottoman Empire | eHISTORY". ehistory.osu.edu. Iliwekwa mnamo 2021-07-28.