Vita ya miaka 100

(Elekezwa kutoka Vita vya miaka mia)

Vita ya miaka 100 ilikuwa kipindi cha mapigano kati ya Ufaransa na Uingereza kilichodumu miaka 116 kuanzia mwaka 1337 hadi 1453.

Ramani inaonyesha maeneo ya vita

Vita ilianza kwa sababu mfalme Charles IV wa Ufaransa aliaga dunia 1328 bila ya kumwacha mrithi, na mfalme Edward III wa Uingereza aliamini kwamba yeye mwenyewe ana haki ya kurithi cheo hiki kwa kuwa mama yake alitoka katika nasaba ya kifalme ya Kifaransa.

Wafaransa wengi walikataa na hii ilikuwa sababu ya vita.

Mwishowe Waingereza walipaswa kujiondoa katika Ufaransa mzima, hata katika maeneo makubwa waliowahi kuyatawala chini ya mamlaka ya jina tu ya mfalme wa Ufaransa.

Viungo vya Nje

hariri