Vita vya shura (pia: Vita vya Pasifiki) vilitokea kati ya miaka 1879 - 1884 baina ya Bolivia, Peru na Chile.

Jangwa la Atacama ni eneo lenye rangi ya njano. Baada ya vita, liko lote ndani ya Chile.

Nchi hizo tatu zilipigania jangwa la Atacama baada ya shura (chumvi ya nitrati mbalimbali) kupatikana na kuanza kuchimbwa kwenye jangwa hilo katika karne ya 19. Utajiri huo ulisababisha vita vilivyoshindwa na Chile.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vita vya shura kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.