Vorapaxar
Vorapaxar, inayouzwa kwa jina la chapa Zontivity, ni dawa inayotumika kupunguza hatari ya mshtuko wa moyo na kiharusi kwa wale walio na ugumu wa mishipa ya damu (atherosclerosis).[2] Faida zake za jumla; hata hivyo, bado hazikuwa zikijulikana wazi kufikia mwaka wa 2021. Dawa hii inachukuliwa kwa mdomo.
Jina la Utaratibu la (IUPAC) | |
---|---|
Ethyl N-[(3R,3aS,4S,4aR,7R,8aR,9aR)-4-[(E)-2-[5-(3-fluorophenyl)-2-pyridyl]vinyl]-3-methyl-1-oxo-3a,4,4a,5,6,7,8,8a,9,9a-decahydro-3H-benzo[f]isobenzofuran-7-yl]carbamate | |
Data ya kikliniki | |
Majina ya kibiashara | Zontivity |
Taarifa za leseni | EMA:[[[:Kigezo:EMA-EPAR]] Link] |
Kategoria ya ujauzito | B(US) |
Hali ya kisheria | ? (US) |
Njia mbalimbali za matumizi | Kwa mdomo |
Data ya utendakazi | |
Uingiaji katika mzunguko wa mwili | ~100%[1] |
Kufunga kwa protini | ≥99% |
Kimetaboliki | Ini (CYP3A4 na CYP2J2) |
Nusu uhai | Siku 5–13 |
Utoaji wa uchafu | Kinyesi (58%), mkojo (25%) |
Vitambulisho | |
Nambari ya ATC | ? |
Visawe | SCH-530348 |
Data ya kikemikali | |
Fomyula | C29H33FN2O4 |
| |
Data ya kimwili | |
Kiwango cha kuyeyuka | 278 °C (532 °F) |
(hii ni nini?) (thibitisha) |
Madhara yake ya kawaida ni pamoja na kutokwa na damu, ambayo inaweza kujumuisha kutokwa na damu ndani ya kichwa. [3] Ni kipokezi cha thrombin (kipokezi kilichoamilishwa na protease, PAR-1) kulingana na bidhaa asilia ya himbacine.[4] Dawa hii inafanya kazi kwa kuzuia mkusanyiko wa chembe ya damu ya pletleti.
Vorapaxar iliidhinishwa kwa ajili ya matumizi ya kimatibabu nchini Marekani mwaka wa 2014.[5] Ingawa iliidhinishwa kutumika Ulaya mwaka wa 2015, idhini hii iliondolewa mwaka wa 2017.[6][7] Nchini Marekani iligharimu takriban dola 370 kwa mwezi kufikia mwaka wa 2021.[8]
Marejeo
hariri- ↑ "ZONTIVITY™ (vorapaxar) Tablets 2.08 mg, for oral use. Full Prescribing Information" (PDF). Merck & Co., Inc. Initial U.S. Approval: 05/2014. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka (PDF) kutoka chanzo mnamo 17 Juni 2014. Iliwekwa mnamo 17 Juni 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Vorapaxar Monograph for Professionals". Drugs.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 24 Januari 2021. Iliwekwa mnamo 16 Septemba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Vorapaxar Monograph for Professionals". Drugs.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 24 Januari 2021. Iliwekwa mnamo 16 Septemba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)"Vorapaxar Monograph for Professionals". Drugs.com. Archived from the original on 24 January 2021. Retrieved 16 September 2021. - ↑ Chackalamannil, S; Wang, Y; Greenlee, WJ; Hu, Z; Xia, Y; Ahn, HS; Boykow, G; Hsieh, Y; Palamanda, J (12 Juni 2008). "Discovery of a novel, orally active himbacine-based thrombin receptor antagonist (SCH 530348) with potent antiplatelet activity". Journal of medicinal chemistry. 51 (11): 3061–4. doi:10.1021/jm800180e. PMID 18447380.
{{cite journal}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Vorapaxar Monograph for Professionals". Drugs.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 24 Januari 2021. Iliwekwa mnamo 16 Septemba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)"Vorapaxar Monograph for Professionals". Drugs.com. Archived from the original on 24 January 2021. Retrieved 16 September 2021. - ↑ "Zontivity". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 28 Novemba 2020. Iliwekwa mnamo 16 Septemba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Zontivity Withdrawal of the marketing authorisation in the European Union" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 3 Juni 2019. Iliwekwa mnamo 16 Septemba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Zontivity Prices, Coupons & Savings Tips - GoodRx". GoodRx. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 9 Agosti 2016. Iliwekwa mnamo 16 Septemba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)