Vybrant Faya
Emmanuel Kojo Quayeson (13 Aprili 1987- 23 Oktoba 2016) anajulikana pia kama Vybrant Faya alikuwa msanii wa dancehall wa Ghana aliyejulikana kwa wimbo wake wa Mampi.[1]
Maisha ya awali
haririAlizaliwa Tema kwa Bw. Samuel Quayson na Bi Theresah Ackon lakini alikulia Ashiaman. Pia ana ndugu wengine watano, anatoka Kanda ya Kati.[2]
Ajira
haririVybrant Fire alianza kurekodi mwaka 2008 ambapo alijulikana kama Skelloh. Bw. Logic ambaye alikua meneja wake mwaka wa 2011 alimpa jina jipya na akabadilisha jina lake kutoka Skelloh hadi Vybrant Fire.[1]
Kifo
haririVybrant Fire alikufa kwa kugongwa na mwendeshaji gari kwenye Barabara ya Tema[3][4][5]
Mafanikio
haririAnafahamika kwa wimbo wake mkuu wa Mampi ambao uliwafanya watu wote kusimama. Aliteuliwa kama msanii bora wa mwaka na wimbo bora wa mwaka wa Reggae/Dancehall katika VGMA ya 2015.[6]
Marejeo
hariri- ↑ 1.0 1.1 https://www.ghanaweb.com/GhanaHomePage/entertainment/12-facts-you-never-knew-about-Vybrant-Faya-480423
- ↑ https://www.modernghana.com/entertainment/39573/dancehall-artiste-vybrant-faya-has-died.html
- ↑ https://www.ghanaweb.com/GhanaHomePage/entertainment/Motor-rider-who-caused-Vybrant-Faya-s-death-finally-speaks-654107
- ↑ https://www.ghanacelebrities.com/2016/10/25/vybrant-fayas-last-words-manager-leave-tearing/
- ↑ https://www.ghanacelebrities.com/2016/10/23/social-media-ghanaian-dancehall-artiste-vybrant-fire-dead/
- ↑ https://www.ghanaweb.com/GhanaHomePage/entertainment/Vybrant-Faya-grateful-to-music-awards-organisers-349150