Waaramu (ܐܪ̈ܡܝܐ, ʼaramáyé), ni watu wa jamii ya Wasemiti wa kaskazini[1] ambao wanatumia Kiaramu.

Maeneo ya Israeli na kandokando mnamo 830 KK.
Jiwe la kaburini lenye maandishi ya Kiaramu, karne ya 7 KK. Lilipatikana huko Neirab au Tell Afis (Syria).

Mwishoni mwa kipindi cha shaba (karne ya 11 hadi karne ya 8 KK) waliunda shirikisho la makabila kutoka Syria ya leo.

Bila kuungana kabisa, walianzisha falme kadhaa kote katika Mashariki ya Kati na kuteka sehemu kubwa ya Mesopotamia.

Katika karne nne za kwanza BK walipokea Ukristo kwa namna maalumu yaliyojitokeza hasa katika shemasi Efrem Mshamu.

Baada ya maeneo yao kutekwa na Waarabu Waislamu (karne ya 7) walizidiwa na kupotewa taratibu na lugha na desturi zao. Hata hivyo baadhi wapo hadi leo[2][3][4]

Tanbihi hariri

  1. "Aramaean (people)". Encyclopaedia Britannica.
  2. "Assyrian people". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-09-29. Iliwekwa mnamo 2018-02-24. 
  3. "Israeli Christians Officially Recognized as Arameans, Not Arabs". Israel Today. September 18, 2014. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-03-07. Iliwekwa mnamo 27 April 2015.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  4. "Ministry of Interior to Admit Arameans to National Population Registry - Latest News Briefs - Arutz Sheva". Arutz Sheva. 

Vyanzo hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  • S. Moscati, 'The Aramaean Ahlamû', FSS, IV (1959), pp. 303–7;
  • M. Freiherr Von Oppenheim, Der Tell Halaf, Leipzig, 1931 pp. 71–198;
  • M. Freiherr Von Oppenheim, Tell Halaf, III, Die Bauwerke, Berlin, 1950;
  • A. Moortgat, Tell Halaf IV, Die Bildwerke, Berlin, 1955;
  • B. Hrouda, Tell Halaf IV, Die Kleinfunde aus historischer Zeit, Berlin, 1962;
  • G. Roux, Ancient Iraq, London, 1980.
  • Beyer, Klaus (1986). "The Aramaic language: its distribution and subdivisions". (Göttingen: Vandenhoeck und Ruprecht). ISBN 3-525-53573-2.
  • Lipiński, Edward (2000). The Aramaeans: their ancient history, culture, religion (toleo la Illustrated). Peeters Publishers. ISBN 978-90-429-0859-8. 
  • Spieckermann, Hermann (1999), "Arameans", katika Fahlbusch, Erwin, Encyclopedia of Christianity 1, Grand Rapids: Wm. B. Eerdmans, ku. 114–115, ISBN 0802824137