Wabajuni ni kabila la watu wanaoishi hasa katika visiwa vya Bajuni na sehemu za pwani za jirani upande wa bara kati ya Kismayo (Somalia) na Mombasa (Kenya)[1][2].

Bajuni
Lugha

Kibajuni, Swahili

Makundi yaliyo karibu kiukoo au kiutamaduni

Waswahili, Wakomoro

Asili yao ni mchanganyiko wa Wakhoisan na Wabantu, lakini pia Waarabu, Waajemi, Wasomali[1] na hata Waindonesia.[3]

Lugha yao ni Kibajuni, lahaja ya Kiswahili.

Upande wa dini ni Waislamu[4].

Tanbihi

hariri
  1. 1.0 1.1 Abdullahi, p.11.
  2. Mwakikagile, p.102.
  3. Gregory Norton, Flyktningeråd (Norway). Land, property, and housing in Somalia. Norwegian Refugee Council. uk. 52.
  4. "Swahili, Bajuni". Joshua Project. Iliwekwa mnamo 2015-11-12.

Marejeo

hariri