Wadan au Mano-Dan ni kabila la kundi la Wamandé kutoka kaskazini-magharibi mwa Ivory Coast na nchi jirani Liberia. Kuna takriban wanachama 700,000 wa kabila hilo na makazi yao makubwa ni Man, Ivory Coast. Majirani zao ni pamoja na Wakrahn, Wakpelle na Wamano. Wao wanajulikana rasmi kama Yacouba (au Yakouba).[1][2]

Marejeo

hariri
  1. Johnson Jr., David P. (2005). "Dan". In Appiah, Anthony; Gates, Henry Louis (eds.). Africana: The Encyclopedia of the African and African American Experience. Oxford University Press. p. 307. ISBN 9780195170559.
  2. Reed, Daniel Boyce (2003). Dan Ge Performance: Masks and Music in Contemporary Côte D'Ivoire. Indiana University Press. ISBN 9780253216120.


  Makala hii ni sehemu ya warsha ya kuhariri Wikipedia huko MUM. Unaweza kusaidia kuihariri na kuongeza habari.