Orodha ya Wafalme Wakuu wa Japani

(Elekezwa kutoka Wafalme Wakuu wa Japani)

Orodha ya Wafalme Wakuu (Tenno) wa Japani inataja wafalme wanaohesabiwa rasmi. Kwa wafalme 28 wa kwanza hatuna miaka ya uhakika, kwa hiyo hawajaorodheshwa humo.