Wafiadini wa Raithu

Wafiadini wa Raithu ni wamonaki Wakristo 43 wa Misri waliouawa huko, karibu na mlima Sinai, kadiri ya simulizi la Amoni fulani[1].

Inawezekana ni walewale 38 wamonaki waliouawa juu ya mlima huo walioandikiwa na Nilo wa Sinai, wakiwemo Isaya, Jesaja, Saba na Theodulo[2].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 14 Januari[3] au 22 Desemba[4][5].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.