Athanas Misiko Wafula Wamunyinyi ni mwanasiasa wa Kenya ambaye ni kiongozi wa chama cha Democratic Action Party.[1]

Alianza taaluma yake ya siasa alipochaguliwa kuwa mbunge wa jimbo la Kanduyi mnamo 1997.

Marejeo

hariri
  1. "Hon. Wamunyinyi, Athanas Misiko Wafula | The Kenyan Parliament Website". www.parliament.go.ke. Iliwekwa mnamo 2022-08-23.