Aituaje Iruobe, anayejulikana pia kama Waje, ni mwimbaji wa Nigeria. [1]) Alipata kutambuliwa kwa mara ya kwanza baada ya kushirikishwa kwenye wimbo mpya wa P-Square "Omoge Mi".

Marejeo

hariri
  1. "Waje's Transitioning to Gospel Music is Not a Trend" (kwa Kiingereza). 2022-10-08. Iliwekwa mnamo 2024-03-25.
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Waje kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.