Walter Gilbert (amezaliwa 31 Machi 1932) ni mwanabiolojia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza jeni. Mwaka wa 1980, pamoja na Paul Berg na Frederick Sanger alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Walter Gilbert
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Marekanibado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Walter Gilbert kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.