Walter Scott Murch (amezaliwa 12 Julai 1943) ni mhariri wa filamu na msanifu sauti kutoka nchini Marekani. Huyu ni mtoto wa mchoraji Walter Tandy Murch (1907-1967).

Walter Murch

Walter Murch in Buenos Aires, Argentina, 2008
Amezaliwa Walter Scott Murch
12 Julai 1943 (1943-07-12) (umri 80)
New York City, New York
Kazi yake Mhariri wa filamu, Msanifu sauti
Miaka ya kazi 1969 - mpaka sasa
Ndoa Aggie Murch (1965-)

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Walter Murch kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.