Wasafi Tv

Wasafi Tv ni televisheni ya nchini Tanzania inayomilikiwa na msanii wa muziki wa kizazi kipya Nassib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz.

Wasafi Tv
Shina la studio Wasafi Media
Imeanzishwa Februari 26 2018 (2018-02-26) (umri 4)
Mwanzilishi Diamond Platnumz
Aina za muziki Bongo Flava
Nchi Tanzania
Mahala Tanzania
Tovuti http://wasafi.tv

Kituo hicho cha televisheni kilizinduliwa rasmi mwaka 2018 mwezi Februari. Televisheni hiyo ni maarufu kwa kurusha nyimbo za Bongo Flava.