Wasagara ni kabila la watu kutoka eneo la kati ya nchi ya Tanzania.

Mwaka 1987 idadi ya Wasagara ilikadiriwa kuwa 79,000 [1].

Lugha yao ni Kisagara.

TanbihiEdit

  Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wasagara kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.