Wasizaki

(Elekezwa kutoka Washashi)

Wasizaki ni kabila la watu kutoka kaskazini-magharibi mwa nchi ya Tanzania, karibu na Ziwa Viktoria.

Mwaka 1987 idadi ya Wasizaki ilikadiriwa kuwa 82,000 [1].

Lugha yao ni Kisizaki.

Tanbihi

hariri
  Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wasizaki kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.