Watumbuka

Watumbuka ni Kabila la Watu kutoka eneo la mpaka baina ya Malawi, Tanzania, na Zambia.

Watumbuka nchini Malawi

Mwaka 2001 idadi ya Watumbuka ilikadiriwa kuwa 940,000 katika Malawi na 392,000 nchini Zambia, lakini idadi ya Watumbuka wanaoishi Tanzania haijulikani [1].

Flag of Tanzania.svg Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Watumbuka kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.