Muuguzi

(Elekezwa kutoka Wauguzi)

Muuguzi (pia: mualisaji au nesi kutoka Kiingereza nurse) ni mtu anayehudumia wagonjwa hospitalini au hata nyumbani.

Florence Nightingale alikuwa mwanamke aliyechangia sana unesi wa kisasa.[1]

Huduma hiyo inadai taaluma ya uganga, na hasa siku hizi serikali zinafuatilia suala hilo la elimu maalumu.

TanbihiEdit

  1. Professional Nursing Practice: Concepts and perspective, Koernig & Hayes, sixth edition, 2011, p.100, ISBN 978-0-13-508090-0Script error: No such module "check isxn".
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Muuguzi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.