Waxhosa

WikiLettreMini.svg Makala hii kuhusu "Waxhosa" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.

Waxhosa ni moja miongoni mwa makabila ya Afrika Kusini. Wako mnamo milioni 8 na lugha yao ni Kixhosa. Watu maarufu wengi kutoka Afrika Kusini walikuwa wa kabila hilo wakiwemo Nelson Mandela na Thabo Mbeki

Mavazi ya Waxhosa