Wayne Van Rooyen

Muigizaji wa Afrika Kusini


Wayne Van Rooyen (Alizaliwa mnamo Juni 14 1978), Ni Mwigizaji wa Afrika kusini na Msanii wa sauti.[1] Anajulikana sana kwa Uhusika wake katika filamu kama Fiela se Kind, Mayfair na Seriously Single.[2]

Wayne Van Rooyen
Amezaliwa Juni 14 1978
Afrika Kusini
Kazi yake Mwigizaji na msanii wa sauti wa Afrika Kusini
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wayne Van Rooyen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. "Wayne van Rooyen". osmtalent. Iliwekwa mnamo 12 November 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Wayne van Rooyen resume". osmtalent. Iliwekwa mnamo 12 November 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)