Wendy Lawal
Yewande Lawal Simpson (awali alijulikana kama Yewande Lawal Adebisi) ni mwigizaji na mwanamitindo kutoka Nigeria.
Wendy Lawal | |
Nchi | Nigeria |
---|---|
Majina mengine | Yewande Lawal Adebisi |
Kazi yake | Mwigizaji na Mwanamitindo |
Alishinda Miss Lagos Carnival Pageant mnamo mwaka wa 2012. [1] [2]
Wasifu
haririNi mtoto wa 5 kati ya watoto 6. Lawal aliolewa na Wanri Simpson mnamo 2018. [3] Alimpoteza mamake mwaka wa 2020. [4] [5]
Elimu
haririAlipata elimu ya msingi na sekondari Nigeria, pia ana shahada ya kwanza ya Sanaa ya Ubunifu kutoka Chuo Kikuu cha Lagos . [6]
Kazi
haririKazi ya uigizaji ya Lawal ilianza kitaaluma mwaka wa 2009 baada ya kushiriki katika kipindi cha televisheni cha Nigeria Living in Lagos . [7] [8] Alishinda Tamasha la Miss Lagos Carnival na mwaka huo huo, alipata jukumu la kushiriki kama Shoshanna katika tamthilia ya televisheni ya Nigeria ya Tinsel mwaka wa 2012. [9] Pia ameigiza katika filamu fupi, TV na mfululizo wa wavuti kama vile: The men's club, Jemeji, Journey to self, The room, Out of sight, Foreign Love, miongoni mwa zingine.
Filamu
hariri- Tinsel (2008)[10]
- Journey to Self (2012)
- The Men's Club (2018)
- The Auction (2018)
- Jimeji (20)[11]
- The Room (20)
- Unbreakable (2019)
- The Set up (2019)[12]
Marejeo
hariri- ↑ "Wendy Lawal Biography | Profile | Fabwoman". FabWoman | News, Style, Living Content For The Nigerian Woman (kwa American English). 2019-02-25. Iliwekwa mnamo 2021-10-27.
- ↑ Silas, Don (2020-11-13). "Tinsel Star, Wendy Lawal loses mother". Daily Post (Nigeria) (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2021-10-27.
- ↑ "Wendy Lawal Biography | Profile | Fabwoman". FabWoman | News, Style, Living Content For The Nigerian Woman (kwa American English). 2019-02-25. Iliwekwa mnamo 2021-10-27."Wendy Lawal Biography | Profile | Fabwoman". FabWoman | News, Style, Living Content For The Nigerian Woman.
- ↑ Silas, Don (2020-11-13). "Tinsel Star, Wendy Lawal loses mother". Daily Post (Nigeria) (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2021-10-27.Silas, Don (2020-11-13). "Tinsel Star, Wendy Lawal loses mother". Daily Post (Nigeria)
- ↑ Odutuyo, Adeyinka (2020-11-13). "Nollywood's Wendy Lawal left heartbroken as her mother dies". Legit.ng - Nigeria news. (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-10-27.
- ↑ "Wendy Lawal Biography | Profile | Fabwoman". FabWoman | News, Style, Living Content For The Nigerian Woman (kwa American English). 2019-02-25. Iliwekwa mnamo 2021-10-27."Wendy Lawal Biography | Profile | Fabwoman". FabWoman | News, Style, Living Content For The Nigerian Woman.
- ↑ "Wendy Lawal Biography | Profile | Fabwoman". FabWoman | News, Style, Living Content For The Nigerian Woman (kwa American English). 2019-02-25. Iliwekwa mnamo 2021-10-27."Wendy Lawal Biography | Profile | Fabwoman". FabWoman | News, Style, Living Content For The Nigerian Woman.
- ↑ Falade, Tomi (2018-04-21). "Even With My Ring, Men Still Make Advances – Tinsel Star, Wendy Lawal". Independent Nigeria Newspaper (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2021-10-27.
- ↑ Silas, Don (2020-11-13). "Tinsel Star, Wendy Lawal loses mother". Daily Post (Nigeria) (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2021-10-27.. "Tinsel Star, Wendy Lawal loses mother". Daily Post (Nigeria) CS1 maint: url-status (link
- ↑ "Wendy Lawal Biography | Profile | Fabwoman". FabWoman | News, Style, Living Content For The Nigerian Woman (kwa American English). 2019-02-25. Iliwekwa mnamo 2021-10-27.
- ↑ Izuzu, Chibumga (2017-06-08). "Who is your favourite character on "Jemeji"?". Pulse Nigeria (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-10-27.
{{cite web}}
: CS1 maint: url-status (link) - ↑ "Jim Iyke, Adesua Etomi, Thrill in 'The Set Up'". THISDAY LIVE (kwa American English). 2019-06-22. Iliwekwa mnamo 2021-10-27.
{{cite web}}
: CS1 maint: url-status (link)