Weupe

uwiano wa mionzi iliyoakisiwa kwa mionzi ya tukio

Weupe, katika elimu ya fizikia, ni sehemu ya nuru inayoakisiwa na kiolwa. Weupe wa 0 ni nyeusi kamili, na weupe wa 1 ni nyeupe kamili.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Weupe kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.