Weza Forest
Weza Forest pia unajulikana kama Weza-Ngele Forest na uko karibu na Harding, KwaZulu-Natal, Afrika Kusini . Huu ni Msitu mkubwa ambao kwa muda mrefu umevunwa mbao. Msitu umegawanywa na kupunguzwa ukubwa kwa miongo mingi.
Marejeo
haririMakala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |