When You Look at Me

"When You Look at Me" ni wimbo mwimbaji wa Kimarekani - Christina Milian. Wimbo huu uliandikwa na Milian, Christin Karlsson, Nina Woodford, Fredrik Odesio na Henrik Jonback, na kutayarishwa na Bloodshy a Avant kwa ajili ya albamu ya kwanza ya mwanadada huyu iliyokwenda kwa jina la Christina Milian, iliyotoka kunako mwaka wa 2001.

“When You Look at Me”
“When You Look at Me” cover
Single ya Christina Milian
kutoka katika albamu ya Christina Milian
B-side "AM to PM"
Imetolewa 2002
Aina R&B
Studio Def Soul
Mtunzi Christina Milian, Christin Karlsson, Nina Woodford, Fredrik Odesio, Henrik Jonback
Mtayarishaji Bloodshy & Avant
Mwenendo wa single za Christina Milian
"AM to PM"
(2001)
"When You Look at Me"
(2002)
"Dip It Low"
(2004)

Wimbo ulitolewa ukiwa kama wa pili kutoka katika albamu hiyo kwa nje ya Marekani, na kuja kuwa kibao mashuhuri kwa nchi ya Australia na Ulaya kwa ujumla, kwa kufikia kumi bora katika Australia, Ubelgiji, Ireland, Uholanzi na Uingereza.

Muundo na orodha ya nyimbo hariri

Huu muundo mzima wa matoleo na orodha ya nyimbo hizi za "When You Look at Me."

Single za Promosheni
  1. "When You Look at Me" (uhariri wa kwa ajili ya redio)
Single ya CD kwa ajili ya Ulaya
  1. "When You Look at Me" (uhariri wa kwa ajili ya redio)
  2. "When You Look at Me" (remix ya Bloodshy)
  3. "AM to PM" (mchanganyiko mkuu wa Groove Chronicles)
  4. "When You Look at Me" (video yake)

Charts hariri

Chart (2001)[1] Nafasi
iliyoshika
Australian ARIA Singles Chart 7
Austrian Singles Chart 13
Belgian (Flanders) Singles Chart 7
Belgian (Wallonia) Singles Chart 25
Danish Singles Chart 16
Dutch Top 40 3
French Singles Chart 11
German Singles Chart 13
Irish Singles Chart 5
Swedish Singles Chart 16
Swiss Singles Chart 31
UK Singles Chart 3

Marejeo hariri

  1. "International Chart Performance". Swisscharts. Iliwekwa mnamo 2008-07-20. 

Viungo vya nje hariri