Wikipedia:Kiswahili Wikipedia Challenge/Submissions/udsm
DIT (jamii) · IFM (j) · JKUAT (j) · Kenyatta U. (j) · Strathmore (j) · U. Nairobi (j) · U. Dar es Salaam (j) · All (j) -
Makala na wanafunzi wa University of Dar es Salaam.
University of Dar es Salaam
haririArticle | Author notes | Pts | Judge | Comments |
---|---|---|---|---|
Muungano wa Afrika | 0.1 | Muddyb | Juhudi zaidi inatakiwa! | |
Nkrumah | 0 | Muddyb | Makala ilikuwepo! Alichoongeza hakikuwa na umuhimu. | |
OAU | 0 | Muddyb | Haujafanya badiliko lolote lile makalani. | |
Mukandala | 0 | Muddyb | Si mtu maarufu sana katika jamii. Wikipedia inaangalia umaarufu wa mtu. Hasa yule mwenye kupewa kipaumbele kwenye vyombo vya habari. Hii haiko sawa. Pole! | |
Msaada wao | 0 | Muddyb | Makala haieleweki. Unamzungumzia Nyerere au namana gani? |
Article | Author notes | Pts | Judge | Comments | |
---|---|---|---|---|---|
Umoja wa Vijana wa Umoja wa Mataifa | Translated from en article UNYA | 2 | Muddyb | Hoya mwana nimekupatia mbili kwa sababu huja kaza kiviiile! Kama vipi komaa, kaka.
| |
AIESEC | 2 | Muddyb | Translate from en article AIESEC | Hoya, babu ongeza juhudi. |
Article | Author notes | Pts | Judge | Comments |
---|---|---|---|---|
Mkurugenzi | 0.1 | SJ | nothing there so far. | |
Uchumi wa Kenya | 0.5 | NM | a very narrow topic... only under kenyatta? |
Article | Author notes | Pts | Judge | Comments |
---|---|---|---|---|
Kiingereza | 2.5 | JK |
Article | Author notes | Pts | Judge | Comments |
---|---|---|---|---|
Rose_Mhando | worked with Kemyjr, translated from en Rose Mhando | 1.4 | EKF | Include some pictures
|
Matumizi ya ardhi | worked with Kemyjr, translated from en Land use | 2.0 | JK |
|
God_Will_Make_a_Way_-_Kali_ya_Don_Moen | worked with Kemyjr, translated from en [1] | 1.5 | JA |
|
I_Will_Sing | worked with Kemyjr, translated from en [2] | 1.5 | JA |
|
God_Is_Good_-_Worship_with_Don_Moen | worked with Kemyjr, translated from en [3] | 1.0 | JA | Would be great if you translated the song titles, etc too. As is, the majority of the article is still in English |
Article | Author notes | Pts | Judge | Comments | |
---|---|---|---|---|---|
Riwaya ya Blindness | 3 | Muddyb | Umejitahidi kwa kiasi kikubwa kuiboresha makala hii. Hivyo, unastahili pongezi. Kumbuka kutaja marejeo mara kwa mara katika makala.
| ||
Mwanza | 0 | Muddyb | Hukumu juu ya makala ya Mwanza bado haijafanyika. Kweli, umeanzisha au umeboresha makala hii? Sioni lolote au alama yoyote kwenye makala ile. Jazia nyama kwenye mifupa (ahsante Kipala)!
| ||
FIJI | 0 | Muddyb | Makala haina muundo wa Wikipedia kabisa. Jitahidi kuboresha - angalau tupate la kusema! | ||
Shule ya uandishi wa habari na mawasiliano ya umma | source, school of journalism and mass communication. [4] | 2.9 | Muddyb | Makala nzuri sana. Lakini, vichwa vimeandikwa kwa maandishi madogo. Pia, hakuna kitu kama Jamii. Ni muhimu sana. Jamii jamani jamii.
| |
Edger Luhende Ngelela | Edger Luhende Ngelela | 3 | Muddyb | Umeiboresha kwa kiasi kikubwa sana. Pia, hata kuweka vile vinavyotakiwa. Dhahili ulielewa ulichoambiwa ni nini. Tunafurahia sana na ongeza juhudi. | |
Joshua Nkomo | Translated from en:wiki Joshua_Nkomo | 2.5 | Muddyb | Bado kuna makosa madogomadogo. Hasa tatizo la sarufi.
| |
Baltasar and Blimunda | Imetafsiriwa kutoka en:wiki | 1.5 | Muddyb | Sehemu kubwa bado haileweki. Jaribu kutafsi neno kama TRIVIA na kadhalika. Pia, inaonekana hujaisafisha kiini kibovu cha GOOGLE TRANSLATE. Pole!
| |
Lalibela, Ethiopia | Imetafsiriwa en:wiki | 2.9 | Muddyb | Kuna baadhi ya maneno yamebaki kuwa ya Kiingereza. Kwa mfano: Dynasti na Emperor. Pia kuna vijisehemu ambavo vinatafsirika, lakini hujatilia mkazo kwenye tafsiri. Lazima uwe chachu jamani ili mambo yawe sawa! Ongeza juhudi.
| |
Ben Carson | Kutoka [5] | 2.5 | Muddyb | Umejitahidi sana. Hongera
| |
Winnie Mandela | 0 | Muddyb | Kuna uwezekano mkubwa wa makala hii kuwepo. Jaribu kutafuta zaidi.
| ||
Westlife | en:wiki [6] | 3 | Muddyb | Umepiga hatua. Ila punguza uvivu wa kutoweka viungo vya interwiki kwenye makala. Unajisahau sana kuwea interwiki. Dada, hiyo ni muhimu sana.
| |
Where The Dreams Come True Tour | Umetafsiriwa kutoka en:wiki | 2.0 | Muddyb | Umepiga hatua. Ila bado kuna kuwa na kasoro za hapa na pale (hasa katika namna ya kutaja "virai" vya kimuziki)! Taratibu ndiyo mwendo, utafika!
| |
Coast to Coast (album) | Kutokaen:wiki | 2.9 | Muddyb | Punguza kuweka makorokoro yote yale ya Wikipedia ya Kiingereza. Unaweza kutafsiri kitu kama chati, historia ya matoleo, kurekodi (siyo lazima), na sehemu za single. Lakini ni hatua nzuri. Kingine: sio lazima kuchukua kichwa cha makala kama kilivyo kwenye en:wiki. Maana yangy hivi, umetafsiri makala ya wimbo wa My Love, lakini umeweka mabano ya (wimbo wa...) wakati hakuna makala nyingine ya My Love. Hii si lazima. Unaweza kuchukua jina moja kwa moja tu, bila kuweka mabano. Unatakiwa uweke mabano sehemu ambapo unahisi makala itakuwepo nyingine, dada yangu.
| |
If I Let You Go | 2.5 | Muddyb |
| ||
My Love (Wimbo wa Westlife) | 2.5 | Muddyb |
| ||
Flying Without Wings | 2.5 | Muddyb |
| ||
Swear It Again | 2.5 | Muddyb |
| ||
I Lay My Love on You | 2.5 | Muddyb |
| ||
When You're Looking Like That | 2.5 | Muddyb |
| ||
Fool Again | Kutoka Fool_Again | 2 | Muddyb |
| |
Uptown Girl | Kutoka Uptown_Girl | 3 | Muddyb | Safi sana. Hatua nzuri.
| |
Unbreakable | Kutoka en:Unbreakable_(Westlife_song | 2.2 | Muddyb |
| |
I Have a Dream | Kutoka en:I Have A Dream (ABBA song)#Westlife version | 3 | Muddyb | Sasa naona hatua zinaongezeka eeh! Ila usikate tamaa kama jinsi ulivyosema kwenye E-mail!
| |
Mandy (Toleo la Westlife) | Kutoka en:Mandy (Westlife Version) | 2.5 | Muddyb |
| |
Us Against the World | Kutoka en:Us Against The World (Westlife Song) | 3 | Muddyb |
| |
Queen of My Heart | Kutoka en:Queen of My Heart | 2.5 | Muddyb |
| |
What Makes a Man | Kutoka en:What Makes a Man | 2.5 | Muddyb |
| |
Tonight/Miss You Nights | Kutoka en:Tonight/Miss_You_Nights | 2 | Muddyb |
| |
Against All Odds (Take a Look at Me Now) | en:Against All Odds (Take a Look at Me Now)#Westlife and Mariah Carey version | 3 | Muddyb |
| |
Turnaround | Kutoka en:Turnaround (Westlife album) | 2 | Muddyb |
| |
Gifted Hands, The Ben Carson Story | Makala mpya | 3 | Muddyb | Umefanya vizuri. Sikutegemea kama ungeweza kuanzisha makala hii kupitia kitabu ulichosoma. Ni tegemeo letu kuwa mwandishi mzuri!
| |
World of Our Own | Kutoka en:World_of_Our_Own | 2 | Muddyb |
| |
More Than Words | Kutoka en:More_Than_Words | 3 | Muddyb | Kaza buti
| |
Bop Bop Baby | Kutoka en:Bop_Bop_Baby | 1.5 | JK |
| |
Axum | Kutoka en:Axum | 3 | Muddyb |
| |
Adwa | Kutoka en:Adwa | 3 | Muddyb
| ||
Ezana | 2 | Muddyb |
| ||
Yeha | 2 | Muddyb |
| ||
The Karaoke Collection | Kutoka en:The_Karaoke_Collection | 2 | Muddyb |
| |
Fly Me to the Moon | Kutoka en:Fly_me_to_the_moon | 2.5 | Muddyb |
| |
The Way You Look Tonight | Kutoka en:The_Way_You_Look_Tonight | 2 | Muddyb |
| |
Allow Us to Be Frank | Kutoka en:Allow_Us_to_Be_Frank | 2.5 | Muddyb |
| |
Amazing | Kutoka en:Amazing | 2 | Muddyb |
| |
Something Right | Kutoka en:Something Right (Westlife song) | 2 | Muddyb |
| |
All Out of Love | Kutoka en:All_Out_of_Love | 2.5 | Muddyb |
| |
Come Fly with Me | Kotoka en:Come_Fly_With_Me_(song) | 1.5 | Muddyb |
| |
I'm Already There | Kutoka en:I'm_Already_There | 2 | Muddyb |
| |
Delta la Nile | Kutoka en:Nile_Delta | 3 | Muddyb |
| |
Damietta | Kutoka en:Damietta | 2.5 | Muddyb |
| |
Usultani wa Adal | Kutoka en:Adal_Sultanate | 2.5 | Muddyb |
| |
Back Home | Kutoka en:Back_Home_(Westlife_album) | 2 | Muddyb |
| |
Ismaïlia | Kutoka en:Ismaïlia | 2.5 | Muddyb |
| |
Daraja la Mfereji wa Suez | Kutoka en:Suez_Canal_Bridge | 2 | Muddyb |
| |
Ghuba ya Suez | Kutoka en:Gulf_of_Suez | 2 | Muddyb |
| |
Ziwa Timsah | Kutoka en:Lake_Timsah | 3 | Muddyb |
| |
Faras | Kutoka en:Faras | 2 | Muddyb |
| |
Washeba | Kutoka en:Sabaeans | 2 | Muddyb |
| |
Amarna | Kutoka en:Amarna | 2 | Muddyb | Makala haijapangiliwa vizuri kabisa. Jitahidi kupunguza mchecheto wakati wa kuandika!
| |
Hawara | Kutoka en:Hawara | 2.5 | Muddyb |
| |
Amhara | Kutoka en:Amhara_people | 2 | Muddyb | Tatizo linaendelea. Punguza mchecheto.
| |
Nicky Byrne | Kutoka en:Nicky_Byrne | 2.5 | Muddyb |
| |
Mark Feehily | Kutoka en:Mark_Feehily | 2 | Muddyb |
| |
Shane Filan | Kutoka en:Shane_Filan | 2 | Muddyb |
| |
Kian Egan | Kutoka en:Kian_Egan | 1 | Muddyb |
| |
Seasons in the Sun | Kutoka en:Seasons_In_The_Sun#Westlife_version | 2.5 | Muddyb | Kasoro ndogondogo nyingi mno!
| |
When You Tell Me That You Love Me | Kutoka en:When_You_Tell_Me_That_You_Love_Me#Westlife_Version | 3 | Muddyb |
| |
Evergreen | Kutoka en:Evergreen_(Westlife_song) | 1.5 | Muddyb |
| |
No Place That Far | en:No_Place_That_Far_(song) | 2 | Muddyb |
| |
What About Now (Daughtry song) | Kutoka en:What_About_Now_(Daughtry_song) | 3 | Muddyb |
| |
Daytime Friends | Kutoka en:Daytime_Friends | 1.5 | Muddyb | Makala inakosea kusema. Maelezo ya mwanzo yanataka ni albamu ya Kenny Rogers na si wimbo. Makala hii ni wimbo kwa Westlife tu, na si Kenny, dada. Umeula wa chuya!
| |
World of Our Own (wimbo) | Kutoka en:World_of_Our_Own_(song) | 2 | Muddyb |
| |
Face to Face (Albamu ya Westlife) | Kutoka en:Face_to_Face_(Westlife_album) | 2 | Muddyb |
| |
The Love Album | Kutoka en:The_Love_Album_(Westlife_album) | 2.5 | Muddyb |
| |
Released | Kutoka Released_(Westlife_album) | 1.5 | Muddyb |
| |
Westlife (albamu) | Kutoka en:Westlife_(album) | 2.5 | Muddyb |
| |
Hey Whatever | Kutoka en:Hey_Whatever | 1.5 | Muddyb |
| |
Unbreakable – The Greatest Hits Vol. 1 | Kutoka en:Unbreakable_–_The_Greatest_Hits_Vol._1 | 3 | Muddyb |
| |
Ziara ya Face to Face | Kutoka en:Face_To_Face_Tour | 1.5 | Muddyb |
| |
The Love Tour | Kutoka en:The_Love_Tour | 1.5 | Muddyb |
| |
Obvious | Kutoka en:Obvious_(Westlife_song) | 1.5 | Muddyb |
| |
Where We Are | Kutoka en:Where_We_Are | 3 | Muddyb |
| |
I'll Be There | Kutoka en:I'll_Be_There_(The_Jackson_5_song) | 2.5 | NM-Muddyb | The article had small mistakes which is normal for the newbie. I've correctd them!
| |
Mariah Carey | Kutoka [[7]] | 3 | NM-Muddyb | Why did you not translate the whole article? Muddyb: Imefanyika. The article got an improvement!! She made it. |
|
Always Be My Baby | Kutoka [[8]] | 2.5 | NM-Muddyb | The article has full criteria. It's deserve the best!
| |
I Still Believe | Kutoka [[9]] | 2.5 | NM-Muddyb |
| |
Anytime You Need a Friend | Kutoka [[10]] | 1.5 | NM |
| |
I Stay in Love | Kutoka en:I Stay in Love | 2.5 | Muddyb | Umepiga hatua nzuri sana katika uandishi wa makala za muziki. Big up, mama!
| |
If It's Over | Kutoka en:If_It's_Over | 1.8 | Muddyb |
| |
Bringin' On the Heartbreak | Kutoka [[11]] | 2.5 | Muddyb |
| |
One Sweet Day | Kutoka [[12]] | 2.5 | Muddyb |
| |
Mariah Carey (albamu) | Kutoka | 2 | Muddyb | [[13]]
| |
Vision of Love | Kutoka [[14]] | 2.5 | Muddyb |
| |
Shake It Off | Kutoka [[15]] | 2.5 | Muddyb |
| |
Through the Rain | Kutoka [[16]] | 2 | Muddyb |
| |
Thank God I Found You | Kutoka [[17]] | 2.5 | Muddyb |
| |
Don't Forget About Us | Kutoka [[18]] | 2.5 | Muddyb |
| |
Just Stand Up! | Kutoka [[19]] | 2 | Muddyb |
| |
There's Got to Be a Way | Kutoka [[20]] | 1.5 | Muddyb |
| |
Say Somethin' | Kutoka [[21]] | 2 | JA |
| |
Honey (Wimbo wa Mariah Carey) | Kutoka [[22]] | 1.5 | JA |
Article | Author notes | Pts | Judge | Comments |
---|---|---|---|---|
kiingereza | 2.0 | JK |
Article | Author notes | Pts | Judge | Comments | |
---|---|---|---|---|---|
Ubingwa wa WWE | translated from english article WWE Championship | 2 | Muddyb | Makala ina mineno mingi ya Kiingereza. Tena, yamebakiwa kuwa vilevile kama yalivyo bila hata kutoa mfano wa neno angalau tungejua ni nini. Je, kwa wale ambao hawajui sheria na taratibu za mchezo huu wataelewa nini? Tafakari!
| |
Atomu na Nyukliasi | makala mpya | 3 | Muddyb | Lakini fikiria kuanzisha makala na kichwa chake. Kwa mfano nini maana ya "Atomu na Nyukliasi"? Hii ndiyo sababu tunataja mwanzoni mwa makala. Mfano: Atomu na Nyukliasi ni hali fulani ya.... ambayo inatokana na... Basi hivyo ndivyo tunavyofanya hapa kwenye Wikipedia!
| |
Ukomeshaji wa Biashara ya Watumwa | makala mpya | 2.5 | Muddyb | Jina la makala na kichwa chake vinapishana! Kifupi, hukuelezea katika hatua ya awali ya makala. Mfano: Ukomeshaji wa Biashara ya Watumwa ni kampeni dhidi ya ukomeshaji wa utumwa -liongozwa na watu wa magharibi katika kukataza biashara hiyo. Halafu kadha-wa-kadha-wa-kadha. Si ni rahisi kurudia au kuandika upya kichwa cha makala? Basi anza upya - angalau tuweke maksi za juu! Hongera. | |
Utawala wa Kijiji - Tanzania | makala mpya | 3 | Muddyb | Hatua nzuri na ulivyoelezwa ulielewa! Basi hongera na jitahidi kurudia zile nyingine ambazo hazikuwekwa kichwa.
| |
Watawala wa Bukini 1800-1880 | makala mpya | 3 | Muddyb | Kumbuka kuweka kichwa cha makala. | |
Viungo Vinavyosafisha Mwili | makala mpya | 3 | Muddyb | Jamani kichwa cha makala. Yaani, wewe unaweza sana, lakini vipi kaka kuhusu kichwa cha makala? | |
Meno | makala mpya | 3 | Muddyb | Kaka unatisha! Nimekubali kaka. Kiswahili safi, maandishi safi, lakini vipi kuhusu kichwa cha makala? Jamani mtindo huu mbaya. Karibuni makala zako zote hazina vichwa. Jitahidi kuweka vichwa. | |
Pwani na Bara ya Afrika Mashariki 1800-1845 | makala mpya | 3 | Muddyb | Kichwa cha makala bado tatizo. Halafu una-katabia ka kuweka sahihi ya jina lako kwenye makala, kaka. Hii si sahihi. Kumbukumbu ya ukurasa inakutaja kama wewe ndiyo mwanzilishi na kadhalika. Hivyo usiweke sahihi, kaka eeh! Hongera tena.
| |
Kuku Mashuhuri Tanzania | makala mpya | 2.5 | Muddyb | Makala zako nzuri sana. Lakini tatizo kubwa ni ule mfumo wa uandikaji moja kwa moja bila hata kuweka kichwa cha makala mwanzoni mwake. Hii inapunguza alama, kaka. Zingatia kuanza na vichwa vya makala! | |
Halogeni | makala mpya | 3.0 | JK | ||
Neptune | makala mpya | 3.0 | NM | ||
Misri (1805-1881) | makala mpya | 3.0 | NM | ||
Utungisho katika Wanyama | makala mpya | 3.0 | NM | ||
Mfumo wa Mmeng'enyo wa Chakula | makala mpya | 3.0 | NM | ||
Antibaotiki | makala mpya | 3.0 | JA | ||
Kipimajoto | makala mpya | 2.5 | JA | ||
Magonjwa ya Zinaa | makala mpya | 3 | JA-Muddyb | Not translated/written by Kehengu (Muddyb): Yeye ndiye mwanzilishi wa makala hiyo. Japokuwa kulikuwa na makala nyingie yenye jina la maradhi zinaa - bado haikuwa babukubwa kupitia hii ya Moses! | |
Magonjwa ya Kuku | makala mpya | 3.0 | JA |
Article | Author notes | Pts | Judge | Comments |
---|---|---|---|---|
Albino | 1.5 | JK |
Article | Author notes | Pts | Judge | Comments |
---|---|---|---|---|
Utalii | 1.1 | Muddyb | Makala fupi. Kwa mashindano haya, inataka makala ndefu kidogo. Ila ni vyanzo vizuri. | |
Chuo Kikuu cha Zanzibar | 3 | Muddyb | Chanzo kizuri sana. Halafu naona umekimbia tena eeh! Ongeza juhudi. |
Article | Author notes | Pts | Judge | Comments |
---|---|---|---|---|
Uharibifu wa ardhi | Land degradation | 2.5 | Muddyb | Kaz nzuri, lakini mbona kimya tena?
|
Uchumi | worked with Happymchiwa, translated from Uchumi Supermakets | 1.0 | NM |
|
Mjane | worked with Happymchiwa, translated from Widow] | -- | JA | Makala hayajaandikwa bado |
Article | Author notes | Pts | Judge | Comments | |
---|---|---|---|---|---|
Alizeti | 1.5 | JA | Could use some cleaning up | ||
Korosho | 1.5 | JA | |||
Ndimu | 1 | JA | |||
Kaa_(Mnyama_mwenye_magamba) | 1 | JA | An example of the sentences you could improve on "Kaa ni decapod crustaceans wa oda ya "Brachyura" ambao kwa ukawaida wana mikia midgo mno" | ||
Mamba_(mjusi) | 1 | JA | |||
Sungura_pori | 1 | JA | |||
Sungura | 2 | JA | |||
Fisi | 1.5 | JA | |||
Mbweha | 1.5 | JA | |||
Kangaruu | 1.5 | JA | |||
Mende | 1.5 | JA | |||
Kima | 2.0 | BT | Nice article; the pictures are only links, hence don't show in the article; no categories or interwikis | ||
Chui | 2.0 | BT | LATE SUBMISSION (30 January); good extensive article; picture and reference links not in wiki-format though; no categories or interwikis | ||
Panya_pori | 2.0 | BT | LATE SUBMISSION (30 January); good extensive article; picture and reference links not in wiki-format though; no categories or interwikis | ||
Nungunungu | 2.0 | BT | LATE SUBMISSION (30 January); good extensive article; picture and reference links not in wiki-format though; no categories or interwikis | ||
Panya | 2.0 | BT | LATE SUBMISSION (30 January); good extensive article; picture and reference links not in wiki-format though; no categories or interwikis | ||
Kifaru | 2.0 | BT | LATE SUBMISSION (30 January); good extensive article; picture and reference links not in wiki-format though; no categories or interwikis | ||
Konokono | 1.5 | BT | LATE SUBMISSION (30 January) - not as extensive as the others; same problems with links | ||
Pundamilia | 2.0 | BT | LATE SUBMISSION (30 January); good extensive article; picture and reference links not in wiki-format though; no categories or interwikis | ||
Tini | 1.5 | BT | LATE SUBMISSION (30 January); good basic article, no links though | ||
Papai | 1.5 | BT | LATE SUBMISSION (30 January); good basic article, no links though | ||
Plamu | 1.5 | BT | LATE SUBMISSION (30 January); good basic article, no links though | ||
Boga | 2.0 | BT | LATE SUBMISSION (30 January); good extensive article; picture and reference links not in wiki-format though; no categories or interwikis | ||
Nyanya | 1.5 | BT | LATE SUBMISSION (30 January); good basic article, no links though |