Wikipedia:Maboresho yanayohitajika

Ukurasa huu ni wa kukusanya maoni kuhusu maboresho yanayohitajika.

Menyu ya Wikipedia hariri

Matini kwenye menyu zetu zilitungwa miaka mingi iliyopita. Mwanzoni walishiriki wanawikipedia ambao hawakuelewa Kiswahili vizuri. Katika mengine lugha imebadilika. Unaombwa kutaja mapendekezo ya kubadilisha maneno ya menyu kwenye ukurasa wa Majadiliano.

Vigezo templates) hariri

Tukitafsiri makala kutoka lugha nyingine, tunakuta mara nyingi kigezo (template), au sanduku la habari (infobox). Siku hizi vigezo hivi mara nyingi huwa na muundo tata. Tukijaribu kuvipeleka katika Wikipedia ya kiswahili, tunaweza kupata maandishi mekundi inayodokeza kasoro fulani, yaani wikipedia yetu haitambui sehemu ya lugha ya kigezo cha kiingereza.

Tunaomba hapa uorodheshe mifano kwenye ukurasa wa majadiliano.