Wikipedia:Mwongozo (Muundo)/sanduku la mchanga

maudhui ya katiba ya Tanzania hariri

===utangulizi=== Katiba ya Jamhuri ya muunngano wa Tanzania ilipitishwa na bunge maalum tarehe 4 Oktoba,2014. Awali,tume ya mabadiliko ya katiba ilitoa rasimu ya kwanza tarehe 3 Juni,2013 na rasimu ya pili ilitolewa 30 Desemba,2014 na kuwasilishwa kwenye bunge maalum tarehe 21,Februari.2014