Wikipedia:Mwongozo (Viungo vya Wikipedia)/sanduku la mchanga
WASAFIRI TANZANIA INVESTMENT LIMITED (WATIL)
Ilianzishwa mnamo mwaka 2015 tarehe 8 ya mwezi wa 6, Ikiwa ni kikundi cha vijana kinachopatikana nchini Tanzania.
Ikiwa kama kikundi cha watu wanaopenda mabasi. Kikundi hicho kilianza katika kurasa za mitandao ya kijamii ambapo ilikuwa Facebook, Whatsapp na Instagram na ilipofika mwaka 2017 ikaanzishwa akaunti ya Twitter
Toka ianzishwe ilikuwa inajulikana kwa jina la Wasafiri Tanzania (WT) kama kikundi na ilipofika tarehe 16 ya mwezi wa 11 mwaka 2016 ikasajiliwa na kuwa kampuni na kutambulika kwa jina la WASAFIRI TANZANIA INVESTMENT LIMITED (WATIL) ikiwa chini ya mwanzilishi bwana Athanas Patrick Malembeka.
Na mpaka sasa inatambulika kisheria kama kampuni inayojihusisha na masuala ya usafiri nchini katika nyanja ya kutoa taarifa za usafiri nchini, ushauri wa masuala ya usafiri katika kuwekeza na kufanya kazi, kutoa elimu ya barabarani, elimu ya wasafiri wawapo safarini.
Katika yote hayo WASAFIRI TANZANIA INVESTMENT LIMITED bado inatumia jina la WASAFIRI TANZANIA kwa kuwa ndilo jina lililokuza umoja na kufikia hatua ya kampuni na hivyo linatambulika kisheria kuwa ni jina la kikundi kilichoundwa na vijana wazalendo wanaojikwamua na wimbi la umaskini.
Kwa upande wa kurasa za kijamii kuna akaunti ya twitter https://twitter.com/wasafirtanzania?s=09 pia kuna akaunti ya istagram https://instagram.com/wasafiri_tanzania?igshid=15arz04w5a9n8